TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Shirikisho la Amerika ya Kati

The Typologically Different Question Answering Dataset

 Shirikisho la Amerika ya Kati (kihisp.: Confederación de Centroamérica) , pia: Maungano ya majimbo ya Amerika ya Kati (Provincias Unidas del Centro de América) ilikuwa maungano ya maeneo ya Amerika ya Kati tangu 1823 hadi 1838. Likajumlisha nchi tano za Guatemala (pamoja na Belize), El Salvador, Honduras, Nikaragua na Costa Rica.

Shirikisho la Amerika ya Kati ilikuwa na nchi ngapi?

  • Ground Truth Answers: tanotanotano

  • Prediction: